Msaada kwa anayeifahamu kozi ya Actuarial Science

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Komaa na masomo ya sayansi ikiwemo hesabu maana hyo kozi hawasomi watu wa arts. Ukisoma hyo kozi utafanya kazi ya uthaminishaji wa mifuko iwe ya bima au pension, mabenki na financial institution zote. Ni bonge la kozi ila msuli wake sio wa kitoto na chuo kinachotoa hyo kozi nafikili nikimoja nchi nzima na wanadaili wanafunzi waliofanya vizuri sana.
 
mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
1,796
2,000
Actuarial science sina uhakika Kama vyuo vingine ipo au inaweza kuwepo lakin Jina tofauti kidogo kwa bongo najua ipo UDSM College of Natural and Applied science, msingi wake mkubwa uwe vizuri hesabu haswaah... Kila kitu kitakuwa poa mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isayalussy11

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
579
1,000
Komaa na masomo ya sayansi ikiwemo hesabu maana hyo kozi hawasomi watu wa arts. Ukisoma hyo kozi utafanya kazi ya uthaminishaji wa mifuko iwe ya bima au pension, mabenki na financial institution zote. Ni bonge la kozi ila msuli wake sio wa kitoto na chuo kinachotoa hyo kozi nafikili nikimoja nchi nzima na wanadaili wanafunzi waliofanya vizuri sana.
Nimekupata mkuu ,maana niliona inahitaj mtu aliyesoma MATH Advance na mm Niko PCM .Ila vp kuhusu kuajiriwa au kujiajir?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Kwa kozi kama ile mtaani utasota kidogo waka sio sana maana waitimu sio wengi kwani kozi yenyewe ina miaka kama sita toka imeanza kutolewa nchini. Pia muhitimu wa kozi hyo ni multi-purpose anaweza kuajiliwa kwa kazi nyingine maana ile kozi imeshiba mambo mengi.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,936
2,000
Baba usifuate mkoumbo au kupenda mambo makubwa kisa unasoma PCM ukaona wewe ndio ww hakuna kama ww.

Kuna watu wenye akili nyingi kama zako walipasua Advance vizuri wakaenda UD wakapiga Petrolium Eng. Kwa mbwembwe nyingi na Misaada lukuki sasa wapo mtaanai hata Wembe wa kunyolea Vuzi ni Tabu.

Nikushauri kitu usipende mambo makubwa na kujifanya ww ni exceptional.
Soma course za kawaida tuu. Soma Electrical, mechanical, Cilvil Eng. Maisha utayamudu vizuri sana

Usije jichanganya na Macourse magumu sijui yanadahili watu 5 nchi nzima ukasema umeula, nakuhakikishia umeliwa.

Watu wanahaha hadi leo wanatamani wangesoma hata Business Adminstration ili Fursa wanaziona ziendane na elimu zao.

Maisha ya sasa ni changamoto sana. Ajira ni chache sana. Kama ww umebahatika kutambua mampema na kuanza kuulizia mambo ya chuo kikuu basi nasema hiyo ni neema kubwa sana, fanya uchaguzi mapema sana, anza kuipalilia ndoto yako

NB: usipende mambo makubwa kwa maisha ya sasa

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,803

Asipokuelewa basi hana utamaduni wa kuelewa mambo ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
themathematicalmodelling

Senior Member
Feb 2, 2018
121
250

very well spoken kipindi nipo advance nilikuwa napenda kusoma mambomagumu saaaana kumbe hayana issue mtaani afu ajira ni ngumu soma vitu ambavyo hata yesu akirudi vitakuwa na market ndugu ndio nikaja kuprove kwamba hakuna course nzuri kama Business administration,it,mechanical eng,finance au program yoyote ya biashara kuna rafiki yangu amemaliza udsm acturial science pale conas mwaka 2011 mpakanayoongea hana kazi bali ameenda mzumbe kuanza kusoma business administration degree
 
Bacary Superior

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
3,737
2,000
Ni course mzuri sana kuisoma lakini kwa hapa Tanzania inatolewa IFM(Faculty ya Insurance and Social protect) na UDSM (Natural applied Science kama sijakosea) kila chuo wanachukua watu arobaini kwa mwaka.

Unaweza kufanya kazi kama Mthamini wa mifuko ya jamii, Bima, benki na taasisi nyingine za fedha.

Mara nyingi kutokana na watu kufeli kwenye mitihani ya Actuaries wameshindwa kufikia ndoto za kuwa Actuaries wanabaki kuwa Underwriter kwenye kampuni za Bima huku wakilipwa Shit Salary...

Lazima Ujue hesabu kama UDSM pale ilikuwa inawakutanisha miamba ya PGM na PCM Kidogo, Lakin IFM hata EGM inachukuliwa uwe na C ya mathematics tu.
 
brother acha kuongopea watu egm pgm and pcm wote wanasoma acturial science tena egm ndiohuwa wana first priority jamaa aliyemaliza pale udsm 2011 alikuwa egm acha kudanganya watu afu darasa la actuarialegm ndio wengi kuliko combination zingine

kingine huwezi kusema program ni nzuri wakat haina ajira kuhusu kufail acha kudanganya watu watu wana pasua saaana actuarial science pale udsm cause wanachukua watu waliofanya vizuri mfano mzuri huyu jamaa ana gpa ya 4.2 na hajawa hata kupata intern ya career yake yuko zake mzumbe anasoma bba now
 
JOAQUEM

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,953
2,000
Baba usifuate mkoumbo au kupenda mambo makubwa kisa unasoma PCM ukaona wewe ndio ww hakuna kama ww.

Kuna watu wenye akili nyingi kama zako walipasua Advance vizuri wakaenda UD wakapiga Petrolium Eng. Kwa mbwembwe nyingi na Misaada lukuki sasa wapo mtaanai hata Wembe wa kunyolea Vuzi ni Tabu.

Nikushauri kitu usipende mambo makubwa na kujifanya ww ni exceptional.
Soma course za kawaida tuu. Soma Electrical, mechanical, Cilvil Eng. Maisha utayamudu vizuri sana

Usije jichanganya na Macourse magumu sijui yanadahili watu 5 nchi nzima ukasema umeula, nakuhakikishia umeliwa.

Watu wanahaha hadi leo wanatamani wangesoma hata Business Adminstration ili Fursa wanaziona ziendane na elimu zao.

Maisha ya sasa ni changamoto sana. Ajira ni chache sana. Kama ww umebahatika kutambua mampema na kuanza kuulizia mambo ya chuo kikuu basi nasema hiyo ni neema kubwa sana, fanya uchaguzi mapema sana, anza kuipalilia ndoto yako

NB: usipende mambo makubwa kwa maisha ya sasa

Vrou van samaria give me bit of water to drink
Unasoma macourse magumu mwishowe maisha yako unayatumia kuishi maporini tu kama nyani...

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
2,860
2,000
brother acha kuongopea watu egm pgm and pcm wote wanasoma acturial science tena egm ndiohuwa wana first priority jamaa aliyemaliza pale udsm 2011 alikuwa egm acha kudanganya watu afu darasa la actuarialegm ndio wengi kuliko combination zingine

kingine huwezi kusema program ni nzuri wakat haina ajira kuhusu kufail acha kudanganya watu watu wana pasua saaana actuarial science pale udsm cause wanachukua watu waliofanya vizuri mfano mzuri huyu jamaa ana gpa ya 4.2 na hajawa hata kupata intern ya career yake yuko zake mzumbe anasoma bba now
Nasema hivi kwa udsm anaenda mtu wa PCM&PGM tu kusoma actuarial science tena one Kali Sana no argument and case closed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bacary Superior

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
3,737
2,000
brother acha kuongopea watu egm pgm and pcm wote wanasoma acturial science tena egm ndiohuwa wana first priority jamaa aliyemaliza pale udsm 2011 alikuwa egm acha kudanganya watu afu darasa la actuarialegm ndio wengi kuliko combination zingine

kingine huwezi kusema program ni nzuri wakat haina ajira kuhusu kufail acha kudanganya watu watu wana pasua saaana actuarial science pale udsm cause wanachukua watu waliofanya vizuri mfano mzuri huyu jamaa ana gpa ya 4.2 na hajawa hata kupata intern ya career yake yuko zake mzumbe anasoma bba now

2011 hii hapa 2019 kila siku mambo yanakuwa Updated kama hauko kwenye hiyo system kaa kimya, ulikuwa unajua kama IFM wanatoa hiyo na lini imeanza Kwanza usikurupuke kujibu bila kuelewa, Hawafeli actuarial science lakini mitihani ya Actuaries (hapa anatakiwa kuwa certified) ukiwa na bachelor haitoshi kufanya kazi.

Kama haujawa certified hauwezi kufanya kazi kama Mthamini wa mifuko, benk nk na ndio maana wengi wanakuwa makampuni ya Bima kama Underwriter.
 
themathematicalmodelling

Senior Member
Feb 2, 2018
121
250
Nasema hivi kwa udsm anaenda mtu wa PCM&PGM tu kusoma actuarial science tena one Kali Sana no argument and case closed.

Sent using Jamii Forums mobile app
usilazimishe wewe usitudanganye wewe tumesoma udsm bwana actuarial science anachukua one sio one kali narudia tena jamaa ya kasoma egm alipatta one ya 9 na alisoma acturial science punguza uongo wewe kawadanganye wengine egm ndio fiest priority actuarial science na ndio wengi darasani hivi unajua kama actuarial science na courcezaonyingi ni MT na FN means mathematics and finance punguza sounds wewe leo ndio nimeamini kwenye mtandano siokila kitu cha kweli kuna wazee wa sounds dagaa humu hatari
 
themathematicalmodelling

Senior Member
Feb 2, 2018
121
250
2011 hii hapa 2019 kila siku mambo yanakuwa Updated kama hauko kwenye hiyo system kaa kimya, ulikuwa unajua kama IFM wanatoa hiyo na lini imeanza Kwanza usikurupuke kujibu bila kuelewa, Hawafeli actuarial science lakini mitihani ya Actuaries (hapa anatakiwa kuwa certified) ukiwa na bachelor haitoshi kufanya kazi.

Kama haujawa certified hauwezi kufanya kazi kama Mthamini wa mifuko, benk nk na ndio maana wengi wanakuwa makampuni ya Bima kama Underwriter.
samahani saaana brother hapo nimekuelewa kaka samahani saaana iam very sorry
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom