Msaada kwa anayefahamu vizuri LED flat screen

Massbizle

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
49
Reaction score
5
Kwa mtu aliye wahi kutumia flat sreen LED ambayo inapicha clear
 
thijui mwaya, labda mwombe jk awaite wazungu ili iwe " kwa msaada watu wa marekani"
 
Wandugu nahitaji aina gani nzuri na yenye picha clear yaani HD.
 
Tafuta lenye chogo hizo LED inaoneka bado sana!!!!
 
Mkuu hapa ni bei yako tu. Kuna magoma hadi ya Million 50 aisee. Ni vema utaje bei/range ya uwezo wako wataalamu wakupe ushauri na mahala pa kununua aisee.
 
Mimi nahitaji ushauri ipi ni nzuri ya kununua @ Rafael
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…