1.Inawezekana mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne nchini Kenya kuja kuendelea na masomo ya chuo Kikuu nchini Tanzania pasipo shida au tatizo lolote lile
2.Nahitaji kujua kama necta wana matawi mikoani ili niweze kubadilisha matokeo ya Kenya kuja katika mfumo wa kitanzania pasipo kwenda dar es salam