Msaada kwa anaejua kuhide IP address

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
610
698
msaada kwa wale ambao wanaju kuhide internet protocol address katika PC unahitajika wakuu
 
-tumia vpn, vpn ya bure nzuri sasa hivi ni opera vpn,

-tumia browser ya tor automatic itakuficha

-tumia proxy mbalimbali za anonymous, nenda xroxy.com utazikuta.
 
Back
Top Bottom