Latwifa Nkingwa
Member
- Mar 27, 2019
- 40
- 32
Wutsup Unamaanisha whatsap mkuu. Nakama ni whatsap ninaongeaje kutumia laptop? Naomba maelekezo mkuuUnaweza ongea Thru wutsup, Facebook, Skype kama kawaida. Insatll izo Apps au tumia browser
Siyakukothamela Sonini na nini
Wutsup Unamaanisha whatsap mkuu. Nakama ni whatsap ninaongeaje kutumia laptop? Naomba maelekezo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hii shule mwalimu ninae.Tumia wutsu web
Siyakukothamela Sonini na nini
Leo hii shule mwalimu ninae.
Mkuu mi sikuelewi sijui ni mchina wewe au mdengeleko wa iyombo? Kakiswahili basi kidogo ili tuelewane
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msaaada Tafadhali Mimi Niko nyuma sana huku!Yani ww ndio mndengeleko.
Ksma hadi mwaka huu hujui kuunganisha whatsapp kwenye Pc yako, hata kupiga FB call hujui, hata Skype hujui sasa sijui unsjua nn
Siyakukothamela Sonini na nini
Hapana mkuu sina mtu yeyote ila ninataka laptop yangu niwe ninaitumia kupiga vidio call na Voice callWrite your reply... huyo mtu unaetaka kuwasiliana nae kwa video call anatumia mtandao gan!? skype,fb,au whatsapp? cha kufanya download and install bluestacks, ikiingia hyo unauwezo wa kudownload apps zote za android, inakua kama simu unadownload kuptia playstore kama kawaida HAPO HAPO KWENYE PC
dmd