emiliani mwaliga
Member
- Aug 21, 2014
- 18
- 1
naomben msaada wenu wana jf kwa anae ifaham shule ya makita
Ipo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. ungekuwa specific unataka kujuwa nini tukujuzenaomben msaada wenu wana jf kwa anae ifaham shule ya makita