Mr. madevu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 432
- 75
Jaribu Huone Adsense sasa hivi hawataki mchezo kabisa yaani uki vunja sharti hata moja tu hakuna msamaa hata kama una 10000000 kwenye akaunti, unafungiwa na pesa huzipati unapo pita unakuta adsense kwenye blog za kiswahili hao wame tumia ujanja na ikigundulika unafunguwa, Achana na blog za Kiswahili hazilipi Ndugu Hebu chek MM Hapa CHiniAsante kwa ushauri ndugu. Je baadae usajili nikikubalika naweza apply hizo code kwenye blog ya kiswahili? Maana nimepitia blog nyingi za Kiswahili nimekuta wanapata Ads kutoka Google.
Hapo naanza pata mwangaza. Hio premium acc. inalipiwa au ni bure kama hii normal? Na ni bei gani? Je procedure za kujiandikisha ni hizi hizi za normal acc?Kuna aina mbili ya AdSense account Normal na Premium Adsense account, ukiwa na premium account unaweza weka hata kwa kiswahili haina shida na masharti yanapungua mno tofauti na mwenye account ya kawaida.
KUNA BAADHI YA TEMPLATE ZINAKUBALI KISWAHILI HATA KWA NORMAL ACCOUNT NA HAWAWEZI KUSHITUKA KAMWEEKuna aina mbili ya AdSense account Normal na Premium Adsense account, ukiwa na premium account unaweza weka hata kwa kiswahili haina shida na masharti yanapungua mno tofauti na mwenye account ya kawaida.
Nawezaje kuzipata hizo template kiongoziKUNA BAADHI YA TEMPLATE ZINAKUBALI KISWAHILI HATA KWA NORMAL ACCOUNT NA HAWEWEZI KUSHITUKA KAMWEE
Premium acc hailipiwi wao AdSense ndo wanaoamua wakupe premium acc,kuna vitu vingi wanavyofanya AdSense wampe mtu premium acc,baadhi ni ubora wa website/blog,idadi ya watembeleaji ni kuanzia 300000-1000000 kwa siku.Aina ya habari unazoandika nk.Hapo naanza pata mwangaza. Hio premium acc. inalipiwa au ni bure kama hii normal? Na ni bei gani? Je procedure za kujiandikisha ni hizi hizi za normal acc?
Nimekuelewa boss. Kwa mtu anaeanza inabidi ujitume sana mpaka ufikie level hizo.Premium acc hailipiwi wao AdSense ndo wanaoamua wakupe premium acc,kuna vitu vingi wanavyofanya AdSense wampe mtu premium acc,baadhi ni ubora wa website/blog,idadi ya watembeleaji ni kuanzia 300000-1000000 kwa siku.Aina ya habari unazoandika nk.
Faida ya kuwa na hii account
1.Page RPM na CPC inakuwa kubwa ,mauzo huongezeka sana.
2.Unaweza kuweka matangazo zaidi ya 5 kwenye page moja.
3.Sio rahisi sana kukufungia kwa sababu kwako hawakazi sana.
4.Ni rahisi kufanya mawasiliano nao na kufanya negotiations za bei na nk.
5.Unaweza kuongeza ukubwa wa Matangazo kwa kuadjust codes. Nk
ni template kama hii SAFIBORA BLOG pia zipo na nyingine hii ukitumia kiswahili haina tatizoNawezaje kupata hizo template kiongozi
Huwezi kufanya kitu AdSense wasikushitukie,sema wanaangalia na uzito wa kosa,kupost kiswahili haina madhara kwao sema kwako matangazo hayata onekana kwenye post za kiswahili,pia hakuna template iliyoandaliwa rasmi kwa ajili ya post za kiswahili .Nimekuelewa boss. Kwa mtu anaeanza inabidi ujitume sana mpaka ufikie level hizo.
Ila nimeambiwa na mdau hapo juu kuwa naweza kupata template ambayo itakua inakubali kiswahili bila wao kishtukia. Je ni kweli
Dah nimeiona kiongozi. Kwa hio hapa nikichagua template yoyote kwa hawa jamaa itakubali kama hii yako?ni template kama hii SAFIBORA BLOG pia zipo na nyingine hii ukitumia kiswahili haina tatizo
Sawa kaka. Kwa hio suluhisho pekee kwa mm mwenye na blog ya kiswahili ni nn? Au nibadilishe content kwenda kwe kizunguHuwezi kufanya kitu AdSense wasikushitukie,sema wanaangalia na uzito wa kosa,kupost kiswahili haina madhara kwao sema kwako matangazo hayata onekana kwenye post za kiswahili,pia hakuna template iliyoandaliwa rasmi kwa ajili ya post za kiswahili .
Jaribu Huone Adsense sasa hivi hawataki mchezo kabisa yaani uki vunja sharti hata moja tu hakuna msamaa hata kama una 10000000 kwenye akaunti, unafungiwa na pesa huzipati unapo pita unakuta adsense kwenye blog za kiswahili hao wame tumia ujanja na ikigundulika unafunguwa, Achana na blog za Kiswahili hazilipi Ndugu Hebu chek MM Hapa CHini
Mkuu adsense account haiwezi kufungwa kamwe kutokana na lugha..ukiweka lugha tofauti hua wanaondoa matangazo kwenye post zako.. ukitumia template za kiswahili kamwe hawawezi kukufungia.. adsense hufungiwa kwa makosa mawili makubwa.. ku-bonyeza matangazo yako na kua na CTR kubwa