I AM WHO I AM
Member
- Oct 18, 2012
- 49
- 35
ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu.
Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani.
Natumia android tecno
i submit
Ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu.
Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani.
Natumia Android TECNO
I SUBMIT
Hiyo namba fanya kama unapiga ili iwe ktk dialed call then kata.then nenda ktk kitufe cha kupiga utakuta namba iyo nenda kwenye option then add to blacklist ukimaliza hapo nenda kwenye call setting then advance setting then blacklist then reject number weka on hapo utakuwa unawaongeza wote wanaokudai mkuu
mkuu vp hayo maujanja kwa nokia unafanyaje?
nokia aina gani mkuu
Ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu.
Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani.
Natumia Android TECNO
I SUBMIT
Je samsung GT-C3222
unafanyeje wadau?
Settings > Application > Call > All calls > Auto reject > Option > Create..
lakini mkuu kwa kuiadd ktk blacklist wakipiga kule itakuwa inaripo busy so mtu ni rahisi kujua kwamba kafanyiziwaHiyo namba fanya kama unapiga ili iwe ktk dialed call then kata.then nenda ktk kitufe cha kupiga utakuta namba iyo nenda kwenye option then add to blacklist ukimaliza hapo nenda kwenye call setting then advance setting then blacklist then reject number weka on hapo utakuwa unawaongeza wote wanaokudai mkuu