Ngona nkujuze kidgo.Jinsi ya kuweka subtitle kwenye move,kuna move nilikuwa na watch through desktop nika copy iliniangalie kwenye laptop sasa huku subtitle hazitokea and move sio ya kingerezaa but subtitle ndo za kingerezaa,please naombeni msaada kama kuna app,(mtakao tokwa na pozi cjui saivi asubuhi tufanye kazi wengine ndo kazi zetu hizo maana wa bongo kwa judge ham)jambo!!!!!!...Asanteni
Nashukuru sana mkuu,kumbe nilicopy tu move cku copy subtitle Ila kwa uwezo wa YouTube nimefanikiwa ku download subtitle na ku install now move ina subtitleNgona nkujuze kidgo.
Folder la movie linakuwa na vitu viwili
1.movie yenyewe.
2.file yenye subtitle.
Sasa ukicopy chukua foldr zima, utaona subtitle.
Kama ikiwa haionekani na huku ulikop folder zima, wakati movie inaplay ryt click katik player yako then navigate hadi kwenye subtitle ruhusu (mostly kwa vlc).
Karibu tenaNashukuru sana mkuu,kumbe nilicopy tu move cku copy subtitle Ila kwa uwezo wa YouTube nimefanikiwa ku download subtitle na ku install now move ina subtitle
movieJinsi ya kuweka subtitle kwenye move,kuna move nilikuwa na watch through desktop nika copy iliniangalie kwenye laptop sasa huku subtitle hazitokea and move sio ya kingerezaa but subtitle ndo za kingerezaa,please naombeni msaada kama kuna app,(mtakao tokwa na pozi cjui saivi asubuhi tufanye kazi wengine ndo kazi zetu hizo maana wa bongo kwa judge ham)jambo!!!!!!...Asanteni
Na kama hiyo movie haina subtitle je?Ngona nkujuze kidgo.
Folder la movie linakuwa na vitu viwili
1.movie yenyewe.
2.file yenye subtitle.
Sasa ukicopy chukua foldr zima, utaona subtitle.
Kama ikiwa haionekani na huku ulikop folder zima, wakati movie inaplay ryt click katik player yako then navigate hadi kwenye subtitle ruhusu (mostly kwa vlc).
Chukua details za movie nenda google download.Na kama hiyo movie haina subtitle je?
unaiwekaje kwenye VLC baada ya kuipakua hiyo subtitleChukua details za movie nenda google download.
Right click katika movie wakat inaplay nenda subtitle then locate ilipo hiyo subtitle yako. Ukiona inasumbua cleat folder lako weka movie na subtitle pamoja. Then play folder zimaunaiwekaje kwenye VLC baada ya kuipakua hiyo subtitle
sawa ngoja nijaribuRight click katika movie wakat inaplay nenda subtitle then locate ilipo hiyo subtitle yako. Ukiona inasumbua cleat folder lako weka movie na subtitle pamoja. Then play folder zima
Nenda google search hiyo movie mbele ya jina la movie andika srtNa kama hiyo movie haina subtitle je?
Ooh poa sana mkuuNenda google search hiyo movie mbele ya jina la movie andika srt
Au search moja kwa moja subtitle
Then baada ya kudownload right click ilo file ulio download nenda kwenye "extract". Extract hilo file
Kama unatumia VLC
Baada ya hapo nenda ka play hiyo movie nenda kwenye pale juu kwenye subtitle ukifungua ita enda moja kwa moja kwenye hilo extracted file uta add hizo subtitle.
Samahani kama hatujaelewa na maelezo hayo