msaada kuweka sim card kwenye laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kuweka sim card kwenye laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ginner, Nov 3, 2011.

 1. G

  Ginner JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Nimenunua toshiba netbook na nimegundua kuwa ina port ya kuingiza sim kadi na namna ya kuiinstall..ila sim cards zate nilizonazo nimekuwa zinapwaya katika hii port...kwa mwenye info jinsi ya kufanya simm card iwe fit kwenye hii port anijuze..au kama kuna adapter za sim card zinahitajika ningefurahi kujua zinapatikana wapi
   
Loading...