Msaada wa jinsi ya kuweka sim card kwenye laptop

Intel5500

JF-Expert Member
Oct 22, 2019
738
649
Nimeangalia chini nikaona sehemu ya kuweka SIM card Ila nilivyochomeka haikusoma mwenye ufahamu anifahamishe. Nini kinahitajika.
 
Nafikiri wakati mwingine unahitaji card fulani (nimesahau jina) unaiweka kwa ndani ili upate huo uwezo wa kuitumia hiyo sim card. Mimi nilikuwa na hp elitebook 2560p ina hiyo slot lakini nilishindwa sikuwa na hiyo card. Pc yako aina gani mkuu? Kila la heri
 
Natumia hp elitebook 840 g8 inasoma fresh tu na speed yake ukiweka uko chini ni kubwa kuliko kwenye simu au modem yenyewe inadetect atakama hakuna line unaona mnara unasema insert sim card Hadi raha.
Komaa taja model yako Hapa kwanza
 
Natumia HP elitebook g2 840
 
kaka na hp elitebook 820 ina sehem ya sim card?
Ndio chomoa battery utaiona
1.jpg
 
Back
Top Bottom