Msaada kuweka human player "cheats" kwenye gemu la IGI 2

Msaada kuweka human player "cheats" kwenye gemu la IGI 2

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Wakuu niliedit file la human player kuweka "cheats" nikatumia notepad. Sasa kitu kimegoma kabisa kufunguka. Linanambia "invalid qvm format in file "humanplayer..."
Msaada kwa mwenye maujanja..

Nb: Sijafanikiwa google
 
umetumia trick ya game jengine una uhakika ni la igi hio? IGI am going in sana ndio unaedit hilo file la qvm.

tumia trainer kama unataka kucheat igi 2 ni very easy
 
umetumia trick ya game jengine una uhakika ni la igi hio? IGI am going in sana ndio unaedit hilo file la qvm.

tumia trainer kama unataka kucheat igi 2 ni very easy
Nimeipata trainer inarun vizuri.. Kuna namna ya kuiondoa hii error? Kama unaweza nitumia file la humanplayer niliweke upya itakuwa poa sana.. Maana nilidelete na jamaa ana kufa kabla hajaanza mission yeyote..
 

Attachments

  • Untitled.png
    Untitled.png
    137.3 KB · Views: 97

Similar Discussions

Back
Top Bottom