Msaada: Kuweka audio kwenye blogger (blogspot)

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
1,176
Reaction score
1,363
Habari zenu wana JF. Naomba msaada kwa yule anayejua jinsi ya kuweka Audios & Videos kwenye blogger (blogspot) ili watu waweze ku-download!

Msaada please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…