Msaada: Kuwatumia SMS watu zaidi ya 2000


Kama unahitaji njia rahisi tumia na utume msj zako kupitia simu endapo una kifurushi cha meseji za kutosha then Google Contacts;

Kwenye hyo Excel sheet yako fanya hivi:
1. Uwe na column mbili column moja yenye majina ya watu na ya pili namba za simu
2. Column ya majina ipe title/heading ya "Given Name", column ya pili ya namba za simu ipe title/heading ya "Phone 1 - Value"
3. Baada ya kuweka hzo column names, nenda File->"Save as" halafu chagua CSV(Text CSV) halafu usave kama CSV kwenye location utakayokumbuka
4. Ukishakuwa na CSV yako ingia Google Contacts kupitia contacts.google.com then click "Go to the old version".
5. Ukifika kwenye old version ya Google Contacts nenda "More" halafu "Import" then uchague ile CSV yako uliyosave mwanzo
6. Ikishamaliza kuimport ni vizuri kutengenezea Group mpya hizo contacts ili kuzitenganisha na contacts zako zingine kama zipo kwa hyo select zote halafu click "Groups"->"Create New" halafu uconfirm ili zote ziwe kwenye Group moja.
7.Baada ya hapo kama email account uliyotumia hapo juu haipo kwenye smartphone yako nenda kwenye nenda Settings->Accounts->Add account click Google, ingiza details zake, baada ya hapo "Sync Contacts".
8. Ikishamaliza kusync contacts namba ulizoimport kwenye Google account hapo juu zitatokea kwenye simu yako na utaweza kutuma meseji kwa contacts zote hzo kama group moja
 
Aaah kumbe shida yako ni kwa njia ya computer! Pole sikuwa nimekuelewa lkn hata hivyo njia ni hiyo hiyo copy majina yote kisha nenda uyapaste kwenye sehemu ya reciept
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…