Msaada ku'unlock huawei y330

Mnyakilambo7

Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
63
Reaction score
27
Habarini wakuu.
Ninatumia simu tajwa hapo juu ambayo niliinunua kwa kampuni moja ya simu nchini, sasa kwa sehemu niliyopo saizi hakuna huduma ya 3G kwa huo mtandao, lakini umekuja huu mtandao wa Halotel una huduma hiyo ya 3G, nataka nii'unlock nitumie Halotel lakin sehem yenyew nmekosa hata mafundi wa kufanya hivo.
Ombi langu wanaJF kama kuna application yoyote naweza kutumia nikaweza kui'unlock mwenyew pls, na km kuna Alternative yoyote mnaweza kunisaidia, Msaada please..

Natanguliza shukrani.
 
Wasiliana na Mwl RCT atakuuzia unlock codes ukiingiza inafunguka hakuna cha kompyuta wala nini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…