Msaada kuunlock hii simu

Msaada kuunlock hii simu

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
Hii simu samsung galaxy s7 edge alieinunua baada ya kuereset i.egoma kwenda mbele inaishia hapa. Msaada namna ya kuiunlock
eb9f305e4987270337b8ac2a647c1ee9.jpg
 
mbona haina lock hiyo
hapo inaonyesha ina FRP(Factory Reset protection) ni kama vile i cloud kwa iphone Na kubypass hiyo FRP ni kimbembe kidogo inategemea na simu
jaribu kugoogle au kucheki video youtube
how to remove/bypass FRP ukiandika na aina ya simu yako
ukishindwa mtafute fundi wa software akusaidie
 
Weka line kwenye hio Simu
Piga Simu hio yenye lock
Ikiita bonyeza add new call
Itatokea sehemu ya kuandika namba Lisha andika *#*#4636*#*#
Itatokea menu ya test
Chagua bettrey information Au usage statistic itakapofunguka bonyeza mshale wa back itakupeleka kwenye menu ya setting kisha shuka mpk factor uifactoriz itakuwa Pw
 
Jaribu hii *#*#7780#*#*

Au hard reset : *2767*3855#

Warning tumia kwa ajili ya reset ya simu tu ikiwa na haja ya kufanya hivyo
 
Mkuu kama upo Dar nichek nikutolee kwa pesa kidogo
 
kama una pc download team viewer na uwe na chanzo cha mtandao usisahau uwe na usb cable nitakutolea remotely mahali popote ulipo ulimwenguni.
 
Kabla ya kufanya factory reset sign in kwanza kwenye account yako ya google au playstore!......over!!
Upo sahihi hatua ya kwanza ndiyo hiyo ila anatakiwa apate acess ya net via wifi au hotspot ndiyo aanze kusign in.
 
kama cyo ya mbio rudi kwa mwenyew mwombe acess ya samsung account ndo ureset simu
 
mbona haina lock hiyo
hapo inaonyesha ina FRP(Factory Reset protection) ni kama vile i cloud kwa iphone Na kubypass hiyo FRP ni kimbembe kidogo inategemea na simu
jaribu kugoogle au kucheki video youtube
how to remove/bypass FRP ukiandika na aina ya simu yako
ukishindwa mtafute fundi wa software akusaidie
FRP zimatoka kirahisi tu Boss!!
Tayari nimeshatoa simu Kama hiyo na Grand prime zaidi ya 3 pamoja na Tecno Spark K9.
Siwezi kuweka maujanja hapa maana wengine huwa wanakwapua simu za watu then wanakuja hapa kuomba msaada wa kuzifungua
 
najua zinatoka hata mm nimeshawahi kubypass kadhaa hasa za samsung j series sema kwa asiyejua ni kimbembe
hapo kwenye blue sijaelewa [emoji23][emoji23][emoji23] sasa wewe unauhakika gani kama ni ya wizi au lah na vipi hizo ulizowahi kubypass je una uhakika gani sio za wizi
kama ni za kwao kwanini wamesahau email zao?
wewe wakija wapige hela kama ni fundi ukianza kujiuliza ni ya wizi au lah utapoteza muda.
 
Hii simu samsung galaxy s7 edge alieinunua baada ya kuereset i.egoma kwenda mbele inaishia hapa. Msaada namna ya kuiunlock
eb9f305e4987270337b8ac2a647c1ee9.jpg

Mkuu angalia hii video haina haja ya kutoa hela wala nini uibe usiibe hiyo juu yako cha msingi ipo mikonono mwako basi
 
Weka line kwenye hio Simu
Piga Simu hio yenye lock
Ikiita bonyeza add new call
Itatokea sehemu ya kuandika namba Lisha andika *#*#4636*#*#
Itatokea menu ya test
Chagua bettrey information Au usage statistic itakapofunguka bonyeza mshale wa back itakupeleka kwenye menu ya setting kisha shuka mpk factor uifactoriz itakuwa Pw
Ni *#*# 4636#*#*
 
Back
Top Bottom