msemakweli2 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,886 Oct 26, 2016 #1 Nauliza mwenye uelewa jamani, nimesikia kuna uwezekano wa kuunganisha screen ya computer na king'amuzi nikaangalia TV kama kuna muelewa naomba anijuze cha kufanya, natanguliza shukrani.
Nauliza mwenye uelewa jamani, nimesikia kuna uwezekano wa kuunganisha screen ya computer na king'amuzi nikaangalia TV kama kuna muelewa naomba anijuze cha kufanya, natanguliza shukrani.
Valentineoneday Member Joined May 28, 2011 Posts 71 Reaction score 63 Nov 29, 2016 #2 Call me 0754 875772
mimi mkali JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 1,794 Reaction score 1,572 Dec 13, 2016 #3 nunua av to vga converter bei kama elfu 50 au 60