Msaada..kuunganisha internet kwenye Nokia E72.

Yoso

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,852
Reaction score
3,348
Wakuu ...nina simu aina ya Nokia E72 ambayo nimeipata siku hizihizi, cha ajabu imegoma kabisa ku-connect internet, naomba msaada wenu wadau.
 
Sio ...automatically..... Inabidi uandae.... APN. Mwenyewe.... Pia inachangia mtandao unaotumia. Vodacom na Airtel... Huwa wanatumaga configuration settings automatically baada ya kuweka line
 
Inakulazimu utengeneze... File la APN
 
una maana gan unavyosema confg. zake ni MANUAL

Unatumia smartphone? Ulishawahi kupata configuration settings?,,,,,, kitendo cha kutokupata settings za internet za mtandao fulani.... Hapo ni manual..
. inakulazimu u-set mwenyewe.... Ili uweze kuwa accessed na internet services.
 
Kama unatumia voda tuma neno ALL kwenda 15300,kama unatumia airtel tuma neno Internet kwenda 232
 
Kama unatumia voda tuma neno ALL kwenda 15300,kama unatumia airtel tuma neno Internet kwenda 232

Hao hawanaga....complications... Wasumbufu ni TIGO.. Na huyu... Muanzisha uzi itakuwa anatumia tigo
 
Duh kweli tigo kwa automatic configuration ni majanga ila kama hatajali sana awapigie c.care halafu awaombe wamtumie configuration..the same i did it and succeed...
 
Unatumia smartphone? Ulishawahi kupata configuration settings?,,,,,, kitendo cha kutokupata settings za internet za mtandao fulani.... Hapo ni manual..
. inakulazimu u-set mwenyewe.... Ili uweze kuwa accessed na internet services.

thnx na ni vip au ni jinc gan unaset ili niweze kuwa access na net
 
thnx na ni vip au ni jinc gan unaset ili niweze kuwa access na net
Nenda setting>>wireless and mobile networks /mobile networks >> access point names >>

(Tap: option) >>NEW APN >> fill the spaces......Name;(eg: Vodacom Internet ) APN (eg: internet) then save...... After saving.... Activate... .... Symbol ya mtandao itatokea ktk notification bar.... Then enjoy..[emoji1] [emoji2] [emoji5] [emoji5] [emoji3]
 
Wakuu ...nina simu aina ya Nokia E72 ambayo nimeipata siku hizihizi, cha ajabu imegoma kabisa ku-connect internet, naomba msaada wenu wadau.

Hakikisha kwanza tarehe ipo sahihi.
Inaleta massage gani ?
Unatumia browser gani ?
Unatumia mtandao gani ?

Hao hawanaga....complications... Wasumbufu ni TIGO.. Na huyu... Muanzisha uzi itakuwa anatumia tigo

ungesema mtandao mwingine sawa ila ktk symbian tigo haina usumbufu kama unavyodai, unaweza tumia APN za mtandao mwingine wowote bila matatizo, tena ukiweka tu laini basi, labda uniambie kwenye touch last edition phones not symbian..
 
Asante..kwa mawazo yako.... Nina experience na nokia S40 na S60...kwa muda usiopungua miaka 8. Huyo muanzisha mada hajui... Inabidi uende nae mdogo mdogo. Wewe umetumia lugha ngumu sana kwake. We have different IQ's.
 
kusema hajui ni mapema sana
-Pia sijaona umuhimu wakutaja experience yako na S40/S60 kwa miaka yote iyo, binafsi ain't interested on S40 and i've used to have Asha lately 2013.....

Nnayo Nokia Symbian mpaka sasa.... I've wide range of exp

Kiongozi upo vizuri. Mimi nina E22 IPo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ