Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 May 29, 2017 #1 Habari zenu wakuu, Naombeni mnisaide kama kuna njia wa kuunga wifi networks 5 kwenye laptop ili niweze kupata speed nzuri.
Habari zenu wakuu, Naombeni mnisaide kama kuna njia wa kuunga wifi networks 5 kwenye laptop ili niweze kupata speed nzuri.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,363 May 29, 2017 #2 umejaribu connectify dispatch?
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 May 30, 2017 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: umejaribu connectify dispatch? Click to expand... Dah hii connectify didpatch inazingua sana kwa mashine za hp...nmeupdate drivers lakini connectify wansnipa error ya drivers
Chief-Mkwawa said: umejaribu connectify dispatch? Click to expand... Dah hii connectify didpatch inazingua sana kwa mashine za hp...nmeupdate drivers lakini connectify wansnipa error ya drivers
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,363 May 30, 2017 #4 Machozi ya Simba said: Dah hii connectify didpatch inazingua sana kwa mashine za hp...nmeupdate drivers lakini connectify wansnipa error ya drivers Click to expand... connectify inakuja na driver zake zenyewe, wanayo service nyengine inaitwa speedify unapata trial ya 1GB kila mwezi unaweza ijaribu nayo.
Machozi ya Simba said: Dah hii connectify didpatch inazingua sana kwa mashine za hp...nmeupdate drivers lakini connectify wansnipa error ya drivers Click to expand... connectify inakuja na driver zake zenyewe, wanayo service nyengine inaitwa speedify unapata trial ya 1GB kila mwezi unaweza ijaribu nayo.