Msaada kuunga network kwenye tablet ya kichina sgody

Pembe 7

Member
Apr 29, 2017
44
86
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina tablet ya kichina inaitwa xcody tatizo nimeweka line ya halotel inakataa kushika network...kuhusu mtandao wa internet haina shida,naomba msaada wenu wajuzi humu nifanye nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom