msaada kuunga internet kwenye blackberry

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
habari
wana jf
Naombeni mwenye kuweza kunielekeza jinsi ya kuunganisha blackberry torch internet kwa tigo.
natanguliza na shukrani zangu
 
mkuu kama hiyo simu ni mpya nadhani kuna configuration inabidi wakuwekee Tigo. Unless kama nimekosea ngoja wadau waje kukupa maujuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…