Msaada kutumia ubuntu os

Puza

Senior Member
Dec 11, 2010
106
12
Wadau mu hali gani?
Naombeni msaada nimejaribu kutumia live cd ya ubuntu version 9.04 kwenye laptop hp pavilion dv5-2155dx yenye specification hizi
processor intel i3 ram 4 gb graphics by intel imekubali kuload kila kitu mpaka mwisho ila unapofungua application yoyote kwa kuright-click ili upate pop up menu inayokuwezesha either kucopy au kudelete kitu inakuwa hairespond chochote/option hazitokei ila ukidouble click kama ni folder linafunguka.
Wadau je hii inatokana na nini na je nifanyaje ili niweze kuitumia kama kawaida.....

una synaptic pad? kama unayo hio ni bug ya ubuntu. Chukua latest ubuntu, halaafu inabidi uchague moja kama ni synaptic touch pad

2-finger scroll au right click na drag!

una synaptic pad? kama unayo hio ni bug ya ubuntu. Chukua latest ubuntu, halaafu inabidi uchague moja kama ni synaptic touch pad

2-finger scroll au right click na drag!

Nashukuru mkuu je hio synaptic pand ntaipataje????
K tk kujaribu nimegundua nikitumia external mouse inafanya kazi vizuri ila kwa kutumia touck pad patupu

una synaptic pad? kama unayo hio ni bug ya ubuntu. Chukua latest ubuntu, halaafu inabidi uchague moja kama ni synaptic touch pad

2-finger scroll au right click na drag!

Nashukuru mkuu je hio synaptic pand ntaipataje????
K tk kujaribu nimegundua nikitumia external mouse inafanya kazi vizuri ila kwa kutumia touch pad patupu

hio synaptic touch pad ndo ukonayo, ni aina ya mpya ambayo scrolling ziko sehemu moja.

ushauri sio lazima ;-), fedora15 infanya kazi vizuri na hizo. unapata 2-finger scrolling, 2finger tap kupata right click menu. Inakuwa kama mac!

Nashukuru mkuu kwa msaada wako
poa itabidi niisake hiyo fedora15
Lakini pia ukipata idea nyingine cio mbaya ukiendelea kutujuza

Shukrani
nenda kwenye terminal andika hii line

Code:
xinput list

ukiona neno synaptic niambie nikupe fix yake. by the way ubuntu mpya 11.04.

Similar Discussions

Back
Top Bottom