Msaada kutumia JF

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,988
4,144
Habari humu!
Hebu mwenye uelewa kidogo kuhusu namna ya kutafuta post namba fulani humu JF unafanyaje?
wengine tupo humu tangu zamani lakini maujanja ya kutembea humu hatuna.
Basi nisaidieni namna ya kutafuta post no fulani e.x [HASHTAG]#282[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom