Habari! Wakuu kama hapo juu panavyojieleza Shida yangu kwa mwenye uzoefu juu ya kutuma mzigo toka Tz kwenda nchini Zimbabwe mfano pair 10 za masai sandals.
Je? Ni njia gani sahihi kwa mzigo,Gharama,
Je? Kuna njia ngapi mtu unaweza tumia kutuma mzigo kwenda huko mfano bus,ni kampuni gani na wanapatikana wapi,EMS pia ikoje na gharama zake,ndege ikoje pia na gharama zake,
Je? itachukua mda gani pia kulingana na hiyo njia.
Ahsanteh samahani kama nitakuwa sijaeleweka