Msaada kutuma mzigo Katavi

elimuplatform

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,054
Reaction score
462
Kuna mzigo nataka kuutuma Katavi nipo dsm msaada wa usafiri gani nitumie
 
Kama ni mzigo wa kawaida nenda Ubungo ulizia basi la Majinjah ongea nao ambapo wao wanafika mpaka Sumbawanga siku hiyo hiyo halafu wao watautuma Katavi/Mpanda kesho yake ambapo ni rahisi zaidi kuliko njia ya Tabora au Kigoma.
 
umejibiwa vizur cna nyongeza

mfipa asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…