Msaada: Kutokwa na vichembechembe vyeupe kwenye chuchu

Clabo1

Member
Sep 25, 2016
99
125
Habari wandugu!

Mimi ni mwanaume, niko na mchumba ambaye tunaishi kwa umbali mrefu sana kutokana na bado kutokua mke wangu, hivyo huwa tunakutana kwa masiku tu.

Sasa kilichonishangaza na kuomba msaada ni baada ya kukutana nae hapa karibuni nimeona anatokwa na kama vichembechembe vyeupe katika chuchu zake. Hivi ni ugonjwa au dalili ya nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom