Msaada kutoka "TUKI".

lil wayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
992
Reaction score
905
Wasalaamu wanajamvi.

Ninaelewa hapa pana wataalamu &na wajuzi kutoka TUKI. Vinginevyo hata kwa aliye yeyote.

Nina hitaji la Kamusi ya Lugha ya Kiswahili yenye vidahizi(maneno), misamiati na Tafsiri zake kwenye lugha hadhimu ya Kiswahili tu.

Mwenye kujua zaidi mahala panapo patikana hii Kamusi anijulishe ili nikainunue.

Shukrani!
 
Unataka kuangalia msamiati uchwara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…