Msaada kutoka kwenu wataalamu

Msaada kutoka kwenu wataalamu

Calvic

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Nina simu yangu ya Samsung GT-S5603 imegoma ya touch screen imegoma kabisa kusense kwenye kioo,nashindwa hata kuitumia,ipo ipo tu,naombeni msaada wenu kwa wale wenye kujua jinsi ya kuitengenezea ama ni mafundi gani wazuri wanaweza kuitengeneza.asanteni sana.
 
Ikabidi ubadilishe full touch na lcd...
Pole sana Mkuu.
Ila kwanza fanya factory reset kwanza uone kama ita saidia.
Ni pm kama unahitaji replacement screen...ila
its EXPENSIVE!
😛ray2:
 
Back
Top Bottom