kunakitu kinaitwa COSMOS
ambaya ni capacitor inayo store charge, kwahiyo hata utoe processor, ram bado ni pale pale, ila inawezekana kuitoa hiyo cosmos battery na kubadirisha yan has, chanya na chanya hasi kisha ika sahau mana tarehe, pasword zote hukaa hapo)
Du!, wabongo kwa laptop za wizi!. Memory ya bios iko kwenye cosmos battery hivyo
1. Lazima ipigwe spana kuifikia!.
2. Kama ni latest, imefungwa pia gprs chip, ukiiwasha tuu mwenye laptop yake ataiona!.
3. Kama ilipoibwa is "soiled!" siku ya siku yatakukuta!.
4. Hata kama haiko "soiled!" bado "karma" ya aliyeibiwa itakuandama!.
5. Na mwisho, kama ulivyoipata "easy come!", vivyo hivyo na kwako itaondoka "easy go!"
Pasco.
ww ni chiz,,
Anayeiba ni mwizi, na anayenunua kitu cha wizi ni mwizi pia!, unawezaje kununua gadget kwa mtu bila kupewa password!. eti umepoteza mawasiliano kwenye dunia ya sasa ya cyber world?! mkishauriwa kuacha wizi, mnaita watu machizi!,kupigwa password na aliyeniuzia yuko nje ya inji cna mawacliano tena
Anayeiba ni mwizi, na anayenunua kitu cha wizi ni mwizi pia!, unawezaje kununua gadget kwa mtu bila kupewa password!. eti umepoteza mawasiliano kwenye dunia ya sasa ya cyber world?! mkishauriwa kuacha wizi, mnaita watu machizi!,
In this matter kweli mimi chizi!.
Pasco.
Kwani kawaambieni kama kaiiba?
Du!, wabongo kwa laptop za wizi!. Memory ya bios iko kwenye cosmos battery hivyo
1. Lazima ipigwe spana kuifikia!.
2. Kama ni latest, imefungwa pia gprs chip, ukiiwasha tuu mwenye laptop yake ataiona!.
3. Kama ilipoibwa is "soiled!" siku ya siku yatakukuta!.
4. Hata kama haiko "soiled!" bado "karma" ya aliyeibiwa itakuandama!.
5. Na mwisho, kama ulivyoipata "easy come!", vivyo hivyo na kwako itaondoka "easy go!"
Pasco.
Kuna software niliwahi kutumia once inaitwa pogostick. I google kupata site yao. Download then burn kwenye cd kama iso image. Kisha boot kwa hiyo cd fuata maelekezo.