Msaada Kutoa Password za Bios Settup Kwny Laptop

Msaada Kutoa Password za Bios Settup Kwny Laptop

Mleta mada usitudanganye eti huna mawasiliano na alie kuuzia hiyo Laptop,

Hapo hakuna ujanja comoa Cosmos batter bila hilo hufanikiwi
 
Watalamu wangu buroo wenu anatatizwa na hii k2,,Nataka piga window inagoma coz imechezewa kwny bios setup na kupigwa password na aliyeniuzia yuko nje ya inji cna mawacliano tena,,plz wachawi wa Computer nisafisheni tongotongo,,,,

Mkuu BIOS password ni vigumu kuibadilisha kwani ilikuwa imefungwa na manufacturer na ni mtu wa kwanza kuinunua laptop hiyo ndie mwenye uwezo wa kufanya marekebisho kwani atakuwa na set up disks zote.

Kampuni kama za Lenovo, Dell na Toshiba zinaweza kukurekebishia hiyo password kama wewe ni mmiliki halali wa laptop hiyo.

Hata hivyo kama wewe si mmiliki halali wa laptop hiyo na kwa kuzingatia kwamba mmiliki halali wa kwanza amekuuzia, zipo njia kadhaa za kuizunguka process nzima ya kubadilisha hiyo password.

Mimi naanza kukupa njia mojawapo ambayo ni kujaribu tarakimu 5 hadi nane ambazo inabidi uziweke baada ya kufanya yafuatayo:

laptoppa.jpg


1. Wakati laptop inaanza kuwaka bonyeza vitufe vya Del, au F1 au F2 kuingia set up ya CMOS

2. Ikija hiyo window ya hapo juu basi unaaza kubahatisha tarakimu kdhaa mpaka labda utakapopata inayoweza kufungua hiyo BIOS.

Kama umejaribu mara zaidi ya tatu basi utapata tarakimu 5 hadi nane kama inavyoonekana hapo juu, basi unaenda kwenye website ifuatayo na unajaribu hapo kuingiza tarakimu ulizozipata na huenda ikafungua password.

Dogbert's Blog: BIOS Password Backdoors in Laptops

Hapo unafanya download ya lugha za programs au scripts ambazo zinaitwa Python na unazitumia kuondoa hiyo password.

Kuna njia zingine lakini naona itabidi nifungue workshop yangu kabisa.

Lol.

Ni shughuli nzito kidogo na inahitaji muda lakini jaribu.
 
Back
Top Bottom