gift clever Member Jun 1, 2016 6 0 Jun 3, 2016 #1 siku yatatu leo macho na mdomo viungo hivi vinatetemeka sasa hasa macho juu ya kope sijajua tatizo nini
siku yatatu leo macho na mdomo viungo hivi vinatetemeka sasa hasa macho juu ya kope sijajua tatizo nini
ndama1 JF-Expert Member Aug 11, 2014 277 96 Jun 3, 2016 #2 Pole sana ndugu subili waamke wataalamu watakusaidia