Msaada kutengeneza website na App kama JamiiForums

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,710
Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa gharama za makadirio za kutengeza website kama ya Jamiiforum na gharama kadirishi za kutengeneza app kama ya JF.

Je wanapataje kipato ukitoa matangazo na user verification?

Je ili google playstore wailipe app inabidi ifikishe downloads ngapi?

Asanteni
 
Kwa jumla web na app?

Pia naomba nisaidie hayo maswli mengne mawili
Njia kubwa ya kipato kwa apps na web nyingi ni njia ya matangazo kwa app unaweza kuiunga na google admob, ila njia nyingine uwe na strong idea ambayo inaweza kumlazimisha mtu kulipia huduma inayotolewa na hiyo app yako mfano kama uber.
Kiujumla ya google wamecategorize mapato na hayaesabiwi kwa downoads, umeshawahi sikia vitu kama CPM,CPC,RPM na RPC yaani cost per thousand na nyingine cost per click, Revenue per thousand impression na revenue per click?
Unataka kutengeneza forum au web ya aina gani?
 
mkuu mimi nataka niandae forum yangu ya hapa hapa bongo ila hadi sasa najichanga na bajeti jumla ni dollar mia 300 hapo ni kila kitu kasoro app
 
Social media app kama JF ila simaanishi copy paste kila kitu
 
Hiyo kila.kitu unamanisha nini mkuu?
 
Kutengeneza Apps Kama Jamiiforums Unatakiwa Kuwa Umesomea IT Uwe Umesomea Codes Zifuatazo
Code:
html, Php ,  Css Javascript Nk
Ila Mimi Nimesomea Kdg Html Na Css Ninauwezo Wa Kudesign Web Application Vzr2 Kama Unahitaji Design Nipo
 
kama unamaanisha forum JF wanatumia XenForo.com hii software ni ya kulipia, bado server kuhost hiyo web+security ukikamilisha hayo forum unaweza kuipeleka hata app ya tapatalk au ukatengeneza tu app yenyewe.jaribu kufanya tafiti kujua bei za kuhost web zinaendaje, ila mi nikiangaalia kimakadilio andaa hata 1.5m
 
Hizo ni kwa ajili ya website mzee, apps hutengenezwa kwa kutumia programming language ya java+xml sikuizi pia kotlin na frameworks baadhi.
 
Thanks mkuu ngoja nifanyie kazi
 
Njia kubwa ya kipato kwa apps na web nyingi ni njia ya matangazo kwa app unaweza kuiunga na google admob, ila njia nyingine uwe na strong idea ambayo inaweza kumlazimisha mtu kulipia huduma inayotolewa na hiyo app yako mfano kama uber.
Kiujumla ya google wamecategorize mapato na hayaesabiwi kwa downoads, umeshawahi sikia vitu kama CPM,CPC,RPM na RPC yaani cost per thousand na nyingine cost per click, Revenue per thousand impression na revenue per click?
Unataka kutengeneza forum au web ya aina gani?
Nishawahi kuskia CPC.. Umenipa chakula kipya cha ubongo mkuu
 
Hizo ni kwa ajili ya website mzee, apps hutengenezwa kwa kutumia programming language ya java+xml sikuizi pia kotlin na frameworks baadhi.
Aaaa Poa Ila Mimi Nimesema Web Application Mkuu
 
Hiyo kila.kitu unamanisha nini mkuu?
domain premium,host, SEO , matangazo ili ije kwa kasi, security maana najua kuna vichwa panzi, na itakuwa bongo tu sio nchi nyingine. na theme yenyewe complte
 
Back
Top Bottom