popo1986 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 1,120 Reaction score 373 Jun 15, 2016 #1 Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hiyo lakini yangu itadhamiria sana katika makundi Fulani ya watu.
Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hiyo lakini yangu itadhamiria sana katika makundi Fulani ya watu.
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Jun 15, 2016 #2 popo1986 said: Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hyo lakn yangu ita dhamilia sana katika makundi Fulani ya watu, Click to expand... Tumia wordpress, halafu unatumia forum plugin ya BBPRESS
popo1986 said: Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hyo lakn yangu ita dhamilia sana katika makundi Fulani ya watu, Click to expand... Tumia wordpress, halafu unatumia forum plugin ya BBPRESS
cerengeti JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 3,879 Reaction score 1,634 Jun 15, 2016 #3 popo1986 said: Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hyo lakn yangu ita dhamilia sana katika makundi Fulani ya watu, Click to expand... Kuna software inatwa vbulletin.
popo1986 said: Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hyo lakn yangu ita dhamilia sana katika makundi Fulani ya watu, Click to expand... Kuna software inatwa vbulletin.
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Jun 15, 2016 #4 Ukihitaji wafanyakazi usisite kunitafuta