msaada kutengeneza guestbook ya website kwa kutumia java

msaada kutengeneza guestbook ya website kwa kutumia java

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
wakuu, naomba mkali wa java anielekeze jinsi ya kutengeneza code za java ambazo nizilink na form ya html kwa ajili ya guestbook.
Tatizo langu kubwa ni jinsi nitakavyoandaa java.
(note: nataka kutumia java si language nyingine tofauti na java)
 
Back
Top Bottom