FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,822
Kama huna utaalam sana na programming development better ukatumia Microsoft access kumtengenezea hiyo database yako la kama unaweza better ukatengeneza ya kwako mwenyewe from the scratchHabarini wana tech.
Naombeni msaada wa namna ya kutengeneza database itakayokuwa na taarifa za wanafunzi wote.
Nina ufahamu kiasi chake na excel.
Je nitumie application na namna rahisi ya kuifanya.
Asanteni.
Programming sina aisee.labda access
kwa access unaweza kutengeneza database na inteface yake kama unaijua ms access database na forms. Kama huna ujuzi basi ni vyema uka Spend kiasi cha fedha kutengenezewa ka system hako. Kwa kuanzia, unataka hiyo database ifanye nini na nini..... weka list ya requirements hapa.
Tumia access ni nzuri sana, hiyo kwenye microsoft office ndiye nwanaume anayeogopwa na wengi.Shukran mkuu.nataka iwe na taarifa za wanafunzi kama vile majina mwaka wa kuzaliwa,kuanza shule,kumaliza na picha ikibidi.
Bei gani?lete hiyo hela tukufanyie kazi wewe hiyo database tunakutengenezea na application kabisa ya kuaccess hiyo database
Shukran mkuu.nataka iwe na taarifa za wanafunzi kama vile majina mwaka wa kuzaliwa,kuanza shule,kumaliza na picha ikibidi.
lete hiyo hela tukufanyie kazi wewe hiyo database tunakutengenezea na application kabisa ya kuaccess hiyo database
[/Qhahaaaaaa