Msaada kutambua namba hii +255262604828

fimbombaya

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
47
Reaction score
12
Wadau naomba anaeitambua namba hiyo +255262604828 anijuze mana nimekuta miscal. Nasi tulituma application tunapokuta namba mpya za cm za mezan tunajua labda umeitwa sehemu. Nimejaribu kuipiga haipokelewi
 
Ok jaribu kupiga mkuu japo hiyo ni kodi ya dodoma.next tym nakushauri tu unapokuwa ktk harakati za kutafuta kazi kuwa makini sana upande wa simu
 
ndugu kwa msaada tu ni hiyo ni code ya tabora sasa unaweza kukumbuka ..(+2552626...) kwenye application zako ni wapi ulituma huko tabora
 
Nadhani ni no ya TTCL(kutoka simu ya mezani). STD code ya Dodoma. Kama kuna mwenye uelewa zaidi atakujuza.
 
Subiri, piga simu yako Jumatatu Asubuhi lazima itapokelwa tu, ila utashngaa ukikuta ni mdeni wako ndio ameamua kukupigia kwa TTCL maana hizi za kawaida umekuwa hupokei
 
wadau naomba anaeitambua namba hiyo +255262604828 anijuze mana nimekuta miscal. Nasi tulituma application tunapokuta namba mpya za cm za mezan tunajua labda umeitwa sehemu. Nimejaribu kuipiga haipokelewi

kazi kweli kweli ! miscal !?
 
Subiri, piga simu yako Jumatatu Asubuhi lazima itapokelwa tu, ila utashngaa ukikuta ni mdeni wako ndio ameamua kukupigia kwa TTCL maana hizi za kawaida umekuwa hupokei

khaaa bdo umenichekesha yani adai hadi kwa kutumia TTCL
 
Reactions: bdo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…