focus ngajimala
Member
- Jun 18, 2012
- 58
- 5
Habari wana_jukwaa kuna_dogo kaniomba msaada wa kumtafutia chuo cha uuguzi Kwa Mkoa wa Dar es salaam! Bt amesema chuo chochote kile ila kiwe Dar.
mwambie aende st.raphael college, kipo kibamba dar es salaam, chuo kizuri kwa kusoma