Msaada kusolve restricted access changed

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
408
restricted access changed. Data service is blocked
hii notification inazingua ina block simu haziingii wala msg hata kuwasha data pia inagoma, natumia htc one m8 kwa anayejua namna ya kusolve hii issue.
 
Kuna setting yoyote umebadil au imekuja yenyewe tu??
Sijafanya setting zozote nililala nakaamka nikaikuta io notification najaribu kuiondoa inatoka baada ya muda inarudi tena yaan hivyo
 
Easy way ni kuinstall rom nyngne. Hata custom rom pia ni nzur tu.
Una kaujuz kokote angalau kidogo nikuelekeze nn cha kufanya??
 
Kwa mbali sana mkuu ila nikipata steps namna ya kufanya nitaweza
 
Ktu cha kwanza komaa na youtube namna ya kuiunlock hyo bootloader.
Cha pili namna ya kuweka custom recovery ambayo ni kutoka TWRP
Cha tatu ni how to install hyo custom rom kutoka venom roms.
Ni hivyo tu.
 
Ngoja niangaike na hii notify block kama itasolve nimepata clip youtube namna ya kuondoa
 
Sawa kiongoz ... km upo dar hapa hapa bas ikikusumbua utakuja tuone tunasaidiana vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…