Msaada kusolve hii Error

Jestkilla

JF-Expert Member
Apr 23, 2014
2,998
3,952
44B5DC62-C3A4-4AB9-A31E-54C600B7514A.jpeg


Msaada nikiwasha computer aina ya HP inaleta hii error message halafu inawaka ila baada ya muda ina stuck huwezi kufanya chochote.

Ukiforce kuzima kwa ku unplug then plug Power inaunguruma feni tu bila kuonesha chochote.
 
View attachment 1715011
Msaada nikiwasha computer aina ya HP inaleta hii error message halafu inawaka ila baada ya muda ina stuck huwezi kufanya chochote.ukiforce kuzima kwa ku unplug then plug Power inaunguruma feni tu bila kuonesha chochote.View attachment 1715011



Anza hapa alaru rudi tena ikigoma.
Ni kama vile bios ipo corrupted.
 
Possibly hard disc imecheza mkuu, nlikua na ttzo kama hilo nikampelekea jamaa kuifungua akakuta hard disc imeloose
 
Battery ya Bios hio cmos imekufa, ni ile kama ya saa, kaibadilishe, kwa fundi ukipigwa sana ni elf 10 panoja na matengenezo
 
Back
Top Bottom