idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 Aug 28, 2014 #1 Hili tatizo linasababishwa na nini na nini tiba yake.
A Asamwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 3,806 Reaction score 2,581 Aug 30, 2014 #2 Ingekuwa vizuri kama ungefafanua zaidi kuwa ni misuli ipi, na hutokea katika mazingira gani! Sababu mojawapo ya muscle cramps kwenye miguu ni upungufu wa madini aina ya calcium, potassium au magnesium katika mwili wako.
Ingekuwa vizuri kama ungefafanua zaidi kuwa ni misuli ipi, na hutokea katika mazingira gani! Sababu mojawapo ya muscle cramps kwenye miguu ni upungufu wa madini aina ya calcium, potassium au magnesium katika mwili wako.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 Sep 5, 2014 Thread starter #3 Asamwa said: Ingekuwa vizuri kama ungefafanua zaidi kuwa ni misuli ipi, na hutokea katika mazingira gani! Sababu mojawapo ya muscle cramps kwenye miguu ni upungufu wa madini aina ya calcium, potassium au magnesium katika mwili wako. Click to expand... Mkuu ni misuli ya kwenye vidole, mapajani na kwenye ugoko.
Asamwa said: Ingekuwa vizuri kama ungefafanua zaidi kuwa ni misuli ipi, na hutokea katika mazingira gani! Sababu mojawapo ya muscle cramps kwenye miguu ni upungufu wa madini aina ya calcium, potassium au magnesium katika mwili wako. Click to expand... Mkuu ni misuli ya kwenye vidole, mapajani na kwenye ugoko.