Kwa kawaida dstv huwa aipotezi fregwens. Kama zimepotea we zima na ukiwasha tena fregwens zinaludi zenyewe. Au dish lako limepoteza huelekeo ? Kama frengesi ni hizi 12245h27500. Kama imepoteza huelekeo unatakiwa uwe na risiva ya kawaida weka izo fregwens hapo juu kisha zungusha dish kuelekea juu au chini au kushoto kulia mpaka upate signal kama umepata ludisha dekoda yako ufuraie picha. Ila lazima ukomae sio rahisi kiivyo