Wadau mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari niliacha kazi kama miaka minne iliyopita, niliondoka bila kuaga wala kuandika barua ya kuacha kazi.
Saa hizi nahitaji tena karudi kufanya kazi Serikalini je ntapokelewa, na maombi natuma kwa nani, Tamisemi au kwa Katibu Mkuu?