Wamtaa huu
Senior Member
- Jan 21, 2011
- 168
- 55
mi sikushauri u resete coz probability ya kufaulu ni ndogo kama mchanga na kufeli ni kubwa kama tofali tafuta hata college yoyote ujiendeleze usipoteze muda kureset ni hayo tu
Utatumia vyeti viwili' I mean unarisiti yale tu unayotaka. Haina haja ya kurisiti masomo yote, mi nilirisiti 2009 masomo matatu tu na sasa hivi nasubiria majibu form six na nimetumia vyeti viwili,
Utatumia vyeti viwili' I mean unarisiti yale tu unayotaka. Haina haja ya kurisiti masomo yote, mi nilirisiti 2009 masomo matatu tu na sasa hivi nasubiria majibu form six na nimetumia vyeti viwili,
kwa hiyo hutaandika akunaga tena
Nilitegemea zaidi ya hayo kutokana na username yako.Utaratibu wa kurisiti ukoje kwa sasa mheshimiwa?
Utaratibu umebadilika hataweza tena kutumia vyeti vya kuunga unga.Vyuo vya Umma kwa sasa wanaangalia backing ground yako kielimu i mean kidato cha 4 uli perform vp,na hata ktk ajira wa kuunga unga sasahivi hawana soko! 2009 ndo mwisho wa utaratibu huo wa LUNDO LA VYETI VYENYE UFAULU KIDUUUCHU
Utatumia vyeti viwili' I mean unarisiti yale tu unayotaka. Haina haja ya kurisiti masomo yote, mi nilirisiti 2009 masomo matatu tu na sasa hivi nasubiria majibu form six na nimetumia vyeti viwili,
Kuna usemi kuwa Pc unafanya mitihani miwili ya {Both School and Private Candidates} na kuna ya Private only tena je hii ni kweli??C kaz sana ! Katika hatua y kuristi Bali ni muda Wa cku moja tu utakuwa umekamilisha usajiri yani Ipo hv-
Hatua y kwanza kuchukua namba ya kituo unachofanyia mtihani then utapelek posta kwenda kuripia ada y mtihani baada y hp , utapewa risit y kulipia baada y hpo fomu itatumwa ili kudhibitisha kuwa umechaguliwa na juu y masomo n wewe utachagua lkn hata ukifany moj gharam n ile ile sema tofaut masom yny practical n elfu kumi kw practical moja na sasa ni mtihani mmoja na yn both school and private candidates
Utaratibu huo uliisha mwaka 2015.Kuna usemi kuwa Pc unafanya mitihani miwili ya {Both School and Private Candidates} na kuna ya Private only tena je hii ni kweli??
Vipi ulikuwa unatafuta credit ngapi na ulirudia masomo mangapi mkuuUtaratibu huo uliisha mwaka 2015.
Sasa ni mtihani mmoja mnafanya wote. PC NA SCHOOL.
Nilirisiti 2016, Nikafanikiwa vizuri. Ila siwezi sahau ule msuli wa kusoma kukabiliana..........
Nilikuwa natafuta full cheti. Masomi 8. Nilipata BCCCCCDD.Vipi ulikuwa unatafuta credit ngapi na ulirudia masomo mangapi mkuu