nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 153
- 163
wakuu habarini za majukumu,
Kuna flash yang moja ya kichin ya gb 128, niliibadilisha format kutoka EXFART, kwenda NTFs, baada ya kubadilisha ivo ilikua inasoma baadhi ya divices, nikabadilisha tena kwenda kweny EXFART.
Kilichotokea imeashindwa kurestore ile format ya mwanzo ya exfart,na haisomi kwenye divice yeyote kwa sasa,ingawaje ukiichomeka kwenye pc inasense,lakin files hazionekani, msaada wenu wataalam kwa kusolve hii ishi.
Asanteni