Msaada: kurekebisha saa kwenye radio ya gari..

Hii hapa Jamani,msaada.
1611021006620s0.jpg
 
Jaribu kushikilia disp kwa sekunde 5 hivi kama dakika zitaanza kucheza tumia buttun ya fwd na rev kubadili saa na dakika
 
Back
Top Bottom