Mimi hayo mambo yalinikuta nilipodownload kwenda iOS 7.0.2 niliuliza humu humu wakaniambia kuwa tatizo lipo kwenye mtandao naotumia!!ni kweli nilikuwa natumia tigo ila baada Ya kuweka airtel ikarudi!!niliwafata tigo wakasema kweli iPhone waliwaondolea hiyo access na nikawauliza lini watawarudishia wakasema baada ya kama week mbili lakini hadi leo haijawahi kurudi nikiweka line ya tigo!!now nimehamia airtel kabisa!!
Hapo jaribu kuonana na huduma kwa wateja wa mtandao unaoutumia wanaweza wakakusaidia kiurahisi au wadau wengine watakuja kwa ushauri zaidi