K kibila JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 807 Reaction score 576 May 16, 2017 #1 Wakuu naomba yeyote mwenye kunisaidia kupata editing program ya pinacle kuanzia version ya 17 mpaka ishirini anisaidie link. Tafadhali sana wakuu naomba huo msaada.
Wakuu naomba yeyote mwenye kunisaidia kupata editing program ya pinacle kuanzia version ya 17 mpaka ishirini anisaidie link. Tafadhali sana wakuu naomba huo msaada.