Msaada kupata funguo mwingine wa gari

Msaada kupata funguo mwingine wa gari

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Hi guys,

Naomba msaada; juzi nikiwa natembea kwa miguu maeneo ya Mwenge Sokoni nimedondosha funguo ya gari pamoja na ya ofisi. Mvua ilikuwa inanyesha sana.

Je, kuna mtu anayeweza nisaidia namna ya kupata funguo nyingine? Sina kopi yoyote ndani. Ni Toyota IST.

Asanteni.
 
je vipi kuhusu mrango wa dereva na nyuma@ victoria
 
Wakt unanunua gari hukupewa funguo mbili????
 
Hi guys,

Naomba msaada; juzi nikiwa natembea kwa miguu maeneo ya Mwenge Sokoni nimedondosha funguo ya gari pamoja na ya ofisi. Mvua ilikuwa inanyesha sana.

Je, kuna mtu anayeweza nisaidia namna ya kupata funguo nyingine? Sina kopi yoyote ndani. Ni Toyota IST.

Asanteni.

Una bahati ni IST ingekuwa BMW au Mercedes Benz ungekiona cha moto!
 
Hi guys,

Naomba msaada; juzi nikiwa natembea kwa miguu maeneo ya Mwenge Sokoni nimedondosha funguo ya gari pamoja na ya ofisi. Mvua ilikuwa inanyesha sana.

Je, kuna mtu anayeweza nisaidia namna ya kupata funguo nyingine? Sina kopi yoyote ndani. Ni Toyota IST.

Asanteni.

Pole mkuu,msaada wa mawazo walokupa wadau unatosha kabisha,hapo hakuna ujanja mwingine zaidi ya kubadilisha switch!pia iwe funzo kwa wengine km una gari na unaswitch moja tu kachongeshe ya ziada kwa sh. elfu10 tu,kuliko kusubiri ipotee uanze kuhangaika na kuingia gharama zaid!
 
Kuchonga funguo nadhani ndio jibu sahihi,ukibadilisha swichi funguo haitafungua milango cha kufanya ongea na fundi afungue ile swichi kama ilivyo halafu unaenda nayo kwa wachonga funguo mfano Manji keys ipo Zanaki street , ama pale kariakoo kidongo chekundu karibu na shule utachongewa funguo ambayo itafungua milango pia kwa gharama isiyozidi elfu 20
 
Back
Top Bottom