Msaada kupata fonts za Infinix zero 4

pyopy

Senior Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
186
Reaction score
402
Nahitaj kubadili fonts ziwe kama za Samsung lakn nashindwa kwny setting hakuna Ila kuna namna ya kufanya kuzipata je, nafanyeje?? Msaada plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaj kubadili fonts ziwe kama za Samsung lakn nashindwa kwny setting hakuna Ila kuna namna ya kufanya kuzipata je, nafanyeje?? Msaada plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia kwenye list ya app kama kuna app inatwa xthemes ama ifananiayo uone kama utaweza ku enable fonts kupitia humo.
 
Google search 'Kingroot apk' download, install then irun. Hii itairoot cm yako, process nzima ya kuroot ikikamilika sasa nenda Playstore katafute iFont app install then chagua font unayoitaka idownload na ifanye default app!.
Ukimaliza unachotaka basi iunstall kingroot na iFont kwenye cm yako!..
 
Kuroot siku hizi sio kispoti spoti kama ulivyosema. Hiyo simu ni marshmallow, kuiroot inatakiwa kazi ya ziada itumike
 
Moja ya madhara yake ni kuwa kama simu yako iko ndani ya warranty huwa warranty inafutika na in case imepata hitilafu ukiwapelekea mafundi wa hyo kampuni ya simu hawaipokei....kingine ni kuwa kuna baadhi ya applications kama za bank mf. Crdb ,Nmb au za Mpesa , tgo pesa huwa zinagoma kufanya kazi kwny simu iliyofanyiwa rooting
Nashukuru kwa mawazo,je kuroot simu haina madhara yyte?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Samsung Galaxy
 
Sio kweli. Inategemea app/software gani imetumika kuiroot simu. Mie nimeroot simu yangu na mobile bank apps natumia kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…