Msaada kupata dawa za PEP

Nenda kituo cha Afya au hospitali yoyote (anza na ya serikali, ingia kwa Dr(OPD) mueleze, atakupa bure za kuanzia, thereafter jumatatu utaambiwa uende CTC hapo utapewa kopo zima la siku 30.

Kumbuka kuwa huduma hii italeta maana kama ukiipata ndani ya masaa 72 baada ya tukio.

Pole Mkuu! Chukua hatua.
 
Me kupima so tatizo nipo shida niliyekutana naye alikata kutumia kondomu na hata kupima kakataa nimepata waswas ndo Mana nahitaji izo dawa
 
Si waambie unataka kwenda kuangalia mgonjwa Mwananyamala Hospitali, Kisha waulize ulipo? Wewe ni wawapi wewe? Ndio maana umeuza mechi bila hata ya malipo.
Bora umenisaidia kumjibu
 
Sasa apimwe nini na ameshiriki ngono isiyosalama usiku wa kuamkia leo

Ndio ni lazima upimwe kabla ya full dose, kwa maana kama ni positive already huwezi kupewa kama unavyodhani pia tunapenda kujua na status ya uluyekutana naye ila kama ni ajali ya wembe, kujichoma etc case itakua handled accordingly!
 
Nenda mnazi mmoja hospital. Ni bure ila lazima upime H.I.V kwanza.

vipi mkuu ndomu ilipasuka ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Habari Wana jf
Nipo apa kuomba msaada juu ya kupata dawa za PEP kwa apa dar es salam kwa siku ya leo
Wahi Kesho asubuhi hospitali ya wilaya. Ama kama muda unakaribia kwisha yaani saa 72 baada ya exposure nenda now hospitali ya wilaya, jielezee vizuuuuri usifiche. Watakuanzishia angalau vidonge viwili kisha rudi Kesho kwa ajili ya kupata full course
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nacheka kama mazuri

Copy that
 
Hupewi PEP bila kupimwa ngwengwe Kwanza. Jiandae kisaikolojia, ukikutwa unayo bhaasi imeisha unapewa referral kwenda kuanza ARVs hapo ndo mnakutana wengiiii kama club flan hv yaan full kuchoreshana, mpaka unajutaaa
One man down!one man down!I repeat..do you copy?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nacheka kama mazuri
Copy that
 
Ukikosa msaada wa hiyo PEP nakukumbushia kujaribu kupiga nyungu...tulifundishwa kuwa virus ni futa ukifika 100 sentigredi linapasuka pwaah !

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ